Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,530
- 32,735
Wadau,habari zenu nijuavyo haya majina ya vituo vya daladala yalikuwa yanawakilisha asili ya kitu,eneo,mtu au mazingira fulani.ila majina ya vi2o vya tandale na sinza huwa vinanifurahisha sana utasikia kwa bibi nyau,kwa tumbo,popobawa! Na mengine ya kufanana nayo.
Tupia majina ya vituo vyenye majina ya ajabu kama haya!.nawasilisha
Tupia majina ya vituo vyenye majina ya ajabu kama haya!.nawasilisha