Mikaeli Mkulima
Member
- Dec 16, 2013
- 7
- 2
Hivi vitunguu vina hitaji maji mengi katika ulimaji?
ekari moja kwa kawaida hutoa gunia ngapi?
Wakuu habarini za leo...tunauza vitunguu, Red Bombay vizuri tu, vipo ghalani barabarani kabisa; jirani na Wami Dakawa-Mvomero, Morogoro.
0715 389 633 au 0784 389 633
gonga link hii kwa maelezo zaidi...
vitunguu na mpunga - kilimo101
Kutegemea na matunzo, gunia 1 hadi 110.
Mnalima au mnanunua kwa wakulima? sifa moja ya red bombay, havikai muda mrefu baad aya kuvuna vimevunwa lini?
Jibu zuri sana hili.
kweli ndugu yangu, wakati mwingine unaweza usipate kabisa..kuna jirani yetu alilima ekari 10, akapata gunia 5!
Hongera mkuu kwa jitihada ulizonazo BIG UPWakuu habarini za leo...tunauza vitunguu, Red Bombay vizuri tu, vipo ghalani barabarani kabisa; jirani na Wami Dakawa-Mvomero, Morogoro.
0715 389 633 au 0784 389 633
gonga link hii kwa maelezo zaidi...
vitunguu na mpunga - kilimo101