Vituko vya Zembwela!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Eti anadai tabia za watanzania ni kama 'mtu kashika njiti ya kibiriti kulia halafu kushoto kuna ganda lake'. Kwamba mtu ukijitusu tu, wamekuwasha. Aliendelea kudai kwamba tabia hii imechangiwa zaidi na 'kuchoka' kimaisha.

Hivi ni kweli hali hii inachangiwa na uchovu wa maisha au ni ucgungu wa watu kuona umasikini unaendelea kuwaelemea watz wengi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom