Vituko vya W Bush huko Beijing!!

Lakini unajua inatisha! Yaani NUmber 1 of the most powerful nation ni mbumbu hivyo! No class! Kumbe ndo maana uchumi wa dunia nzima inasuasua! Afadhali angemwachia Laura aendeshe nchi!
...Come on Susuviri....He's human being kwani kuna president unadhani haitaji ku-relax?? Kwa kweli kwangu naona ni sawa tu let him ajichanganye na ku-enjoy kuwa president haimaniishi basi kila sekunde, dakika, saa, siku, wiki, mwezi na mwaka eti uko busy haiwezekani tena nadhani unaweza ukashindwa kuperform..

Tena ukitoka hapo mwili na akili vinakuwa viko vizuri na fikra mpya zinapatikana....I wish hata JK angeenda tu na yeye kusafisha macho it's part of life mtu wangu au unasemaje??
 
He is just having fun, muacheni ajiachie bwana, na ni kweli aliwaongezea sana morale wanamichezo wa nchi yake.
 
hapo mtu mmoja akurupuke tu na jina la osama i swear pombe yote itamwisha kichwani
...Teh! teh! tehhhhhhh . Ni kweli Naima,
anajua amechemka kumtafuta Osama that's why ameamua kula maisha tu ukizingatia utamu wa white house unaelekea ukingoni.
 
Bush mnamsema tu huyu jamaa hajali watu kuongea anafanya roho inavyopenda maisha ni mafupi. Bush amesoma na ana Masters ya business.
 
...Come on Susuviri....I wish hata JK angeenda tu na yeye kusafisha macho it's part of life mtu wangu au unasemaje??

...kaka i think jk amezidisha dosage ..tatizo kwa utamaduni wetu ....huwezi kumpiga picha rais akiwa na wanawake wenye vichupi...t sting...na vifua nje...kwa wazungu its okay...ila kwetu ni matusi....

..........wa kwetu amezidisha likozo...na kujipa likizo..
 
Off the subject!!!
Nini kinawafanya muamini Bush anamtafuta Osama?
Dubya aliongeza hadi masaa machache ya kuondoka Beijing si mchezo.....
 
Hey! Nilijua hii thread itakosa comment kumbe nimewachangamsha, eh?
Mi nadhani most of you are suffering from a green disease called envy maana mnatamani kuwa Beijing kama Kichaka! ;)
Lakini mimi nauliza kama angekuwa Obama anabehave hivyo na kuwachapa na kuwacheki wasichana wazungu si ingekuwa scandal?
Mnamtetea tu huyu bumbumbu! He is an alcoholic na that's how he spent most of his 8 years in power! MMesahau alivyochoke on a pretzel watching TV? Mtu utakabwa vipi na vitafunio kama hujalewa pombe? Kwikwikwi! :D :D :D
Anyway, hiyo ni mada nyingine.
Lakini tukirudi kwenye Olympics, sidhani kama unashindwa kuwasapoti wanamichezo wako with dignity mchekini Mitt Romney anavyomshangaa rais wake. Jamaa mpaka anashindwa kutembea na pombe!! Nakataa huko si kujifurahisha, ni kujisahau.
Would you react the same way angekuwa Obama? Je angekuwa Kikwete mngesemaje? Acheni kujigonga kwa Bush eti kwa vile katupatia mabilioni. Doesn't change the fact that he was misbehaving! Kwikwikwi! :D :D
 
Haya mmeshindwa kujibu, naomba niweke changamoto nyingine hapa. While rais Bu-foon-ush anafanya vituko huko Beijing cheki The Man - Obama anavyorelax with style!

obamavacation8.jpg


Alijifunza kutovua shati maana walishambamba mapaparazzi na mtu mzima aliumbuka sana!

obamavacation2.jpg


Sasa contrast the two men's photos and see the difference!! Obama is presidential while Bush is bumbumbu mzungu wa reli! :D:D
 
Haya mmeshindwa kujibu, naomba niweke changamoto nyingine hapa. While rais Bu-foon-ush anafanya vituko huko Beijing cheki The Man - Obama anavyorelax with style!

obamavacation8.jpg


Alijifunza kutovua shati maana walishambamba mapaparazzi na mtu mzima aliumbuka sana!

obamavacation2.jpg


Sasa contrast the two men's photos and see the difference!! Obama is presidential while Bush is bumbumbu mzungu wa reli! :D:D


Huyu jamaa asipokuwa rais mi wamarekani sitawaelewa kabisa.
 
....and to think Bush gave billions of dollars in aid to Africa only to be lampooned in here.

The Truth, yaani kwa vile Bush katoa msaada akifanya vioja asiongelewe?! Mbona akili ya kikabaila sana hii.. daah, mfano huu unanikumbusha jinsi vile kule India watoto wadogo wanavyo tumikishwa usiku na mchana bila uhuru wa kuongea kwa vile tu wanapewa misaada ya chakula na mabeberu wanao wamiliki.

Miye nadhani hata huyo Masudi mlikuwa mnamwonea sana alipokuwa mfanyakazi wenu (https://www.jamiiforums.com/showpost.php?p=268249&postcount=4581)... maana unavyosomeka, yaani ukimpatia mtu msaada tu, basi asikuhoji wala kukukosoa tena...
 
The Truth, yaani kwa vile Bush katoa msaada akifanya vioja asiongelewe?! Mbona akili ya kikabaila sana hii.. daah, mfano huu unanikumbusha jinsi vile kule India watoto wadogo wanavyo tumikishwa usiku na mchana bila uhuru wa kuongea kwa vile tu wanapewa misaada ya chakula na mabeberu wanao wamiliki.

....................
maana unavyosomeka, yaani ukimpatia mtu msaada tu, basi asikuhoji wala kukukosoa tena...

Sema wewe SteveD, maana mi nawashangaa, wanamwona Bush wa maana kwa kuwa katoa mihela yake!
 
Back
Top Bottom