Vituko vya Tanzania na sinema ya Above The Law

makesy

Member
Jan 29, 2013
75
32
WANA JF SALAM
Kuna sinema moja inaitwa Above The Law niliiangalia zamani sana hii inamuonyesha dada mmoja aitwae Sinsia alikuwa mpelelezi akapewa kazi ya kuchunguza magaidi na wauza madawa ya kulevya katika nchi yake yule dada akawa anaanafanya ilekazi na kilasiku kutoa taarifa kwa mkuu wake kumbe mkuu anaempelekea taarifa ndie mfadhili mkuu wa makundi yale sasa ikawa kila sinsia anapopeleka taarifa yule mkuu anawajulisha wale magaidi na kuwaelekeza jinsi ya kujihami yule dada alifanya ile kazi kwaugumu sana maana kila alipopanga mtego magaidi walipewa taarifa na kuukwepa lakini mwisho kabisa sinsia alikuja kugundua kuwa bosi wake anahusika ndipo akaanza kumpa taarifa za uongo huku akimuwekea mtego hadi akamkamata bosi wake.

Ninapoangalia haya yanayotokea hapa Tanzania leo naikumbuka filamu hii maana inavyoelekea na ambavyo imeshaonekana mambo mengi yanayotokea hapa tanzania serikali ina husika kwa namna moja au nyingine kwamfano kutekwa kwa ulimboka serikali ilisema inafanya uchunguzi kubaini wahusika lakini ulimboka mwenyewe aliwataja waliohusika kwa majina na kazi wanazofanya pia uchunguzi uliofanywa na Kubenea ulithibitisha kuhusika kwa watu hao lakini hadi leo hakuna aliekamatwa wala kuitwa tu na kuhojiwa.
mfano mwingine ni vifo vilivyotokea kwenye maandamano ya chadema serikali inasema chadema wanahusika chadema wanasema serikali iunde mahakama ya korona kuchunguza wahusika serikali inakuwa kimya maana wanajua sinsia atakuja kugundua kuwa bosi wake ndie mhusika mkuu

Ipo mifano mingi lakini wa mwisho tuangalie huu wa lwakatare na mwingulu nchemba hapa ndio wananchi tumebaini wazi kuwa serikali na ccm ndio wanaotengeneza matukio kwaajili ya kuwafanya wananchi waogope vyamavingi eti vinaleta vurugu nchini.
UKITAKAKUJUA TUKIO LIMEFANYWA NA WAHUSIKA NI CHAMA NA SERIKALI ANGALIA YAFUATAYO

  1. ]HATAMHUSIKA WA UHALIFU AKIJULIKANA NA KUTAJWA HADHARANI HATAKAMATWA WALA KUHOJIWA
  2. ]TUKIO LIKITOKEA TU NILAZIMA SERIKALI IUNDE TUME NA MAJIBU HAYATATOKA MILELE
  3. ]TUKIO LIKITOKEA NI LAZIMA KAULI ZA VIONGOZI ZITAMKE NI TUKIO LA KISIASA
Haya na mengine mengi ya mabom yaarusha , yakutekwa kwa Kibanda, ya uchochezi wa kidini, ukanda, ukabila yote yanafadhiliwa na bosi hivyo Sinsia atafanya kazi kubwa sana hadi aje agundue nae bosi ni mhusika
NINI KIFANYIKE NAOMBA MAWAZO YENU
 
Kwa kuwa huyo bosi naye anabosi wake basi apigwe chini na huyo basi wake-wananchi.
 
Nimeusoma huu uzi nimeukumbuka wimbo wa Bob Marley wa Them Belly Full But We Hungry, embu tujikumbushe beti zake mbili hizi maana naona kama kuna ujumbe hapa ipo siku wananchi watafanya maamuzi;

Them belly full, but we hungry;
A hungry mob is a angry mob.
A rain is fall, but the dirt it tough;
A pot is cook, but the food no 'nough.

You're gonna dance to Jah music, dance;
We're gonna dance to Jah music, dance, oh-ooh!

Forget your troubles and dance!
Forget your sorrows and dance!
Forget your sickness and dance!
Forget your weakness and dance!

Cost of livin' gets so high,
Rich and poor they start to cry:
Now the weak must get strong;
They say, "Oh, what a tribulation!"
Them belly full, but we hungry;
A hungry mob is a angry mob.
A rain is fall, but the dirt it tough;
A pot is cook, but the food no 'nough.
 
WANA JF SALAM
Kuna sinema moja inaitwa Above The Law niliiangalia zamani sana hii inamuonyesha dada mmoja aitwae Sinsia alikuwa mpelelezi akapewa kazi ya kuchunguza magaidi na wauza madawa ya kulevya katika nchi yake yule dada akawa anaanafanya ilekazi na kilasiku kutoa taarifa kwa mkuu wake kumbe mkuu anaempelekea taarifa ndie mfadhili mkuu wa makundi yale sasa ikawa kila sinsia anapopeleka taarifa yule mkuu anawajulisha wale magaidi na kuwaelekeza jinsi ya kujihami yule dada alifanya ile kazi kwaugumu sana maana kila alipopanga mtego magaidi walipewa taarifa na kuukwepa lakini mwisho kabisa sinsia alikuja kugundua kuwa bosi wake anahusika ndipo akaanza kumpa taarifa za uongo huku akimuwekea mtego hadi akamkamata bosi wake.

Ninapoangalia haya yanayotokea hapa Tanzania leo naikumbuka filamu hii maana inavyoelekea na ambavyo imeshaonekana mambo mengi yanayotokea hapa tanzania serikali ina husika kwa namna moja au nyingine kwamfano kutekwa kwa ulimboka serikali ilisema inafanya uchunguzi kubaini wahusika lakini ulimboka mwenyewe aliwataja waliohusika kwa majina na kazi wanazofanya pia uchunguzi uliofanywa na Kubenea ulithibitisha kuhusika kwa watu hao lakini hadi leo hakuna aliekamatwa wala kuitwa tu na kuhojiwa.
mfano mwingine ni vifo vilivyotokea kwenye maandamano ya chadema serikali inasema chadema wanahusika chadema wanasema serikali iunde mahakama ya korona kuchunguza wahusika serikali inakuwa kimya maana wanajua sinsia atakuja kugundua kuwa bosi wake ndie mhusika mkuu

Ipo mifano mingi lakini wa mwisho tuangalie huu wa lwakatare na mwingulu nchemba hapa ndio wananchi tumebaini wazi kuwa serikali na ccm ndio wanaotengeneza matukio kwaajili ya kuwafanya wananchi waogope vyamavingi eti vinaleta vurugu nchini.
UKITAKAKUJUA TUKIO LIMEFANYWA NA WAHUSIKA NI CHAMA NA SERIKALI ANGALIA YAFUATAYO

  1. ]HATAMHUSIKA WA UHALIFU AKIJULIKANA NA KUTAJWA HADHARANI HATAKAMATWA WALA KUHOJIWA
  2. ]TUKIO LIKITOKEA TU NILAZIMA SERIKALI IUNDE TUME NA MAJIBU HAYATATOKA MILELE
  3. ]TUKIO LIKITOKEA NI LAZIMA KAULI ZA VIONGOZI ZITAMKE NI TUKIO LA KISIASA
Haya na mengine mengi ya mabom yaarusha , yakutekwa kwa Kibanda, ya uchochezi wa kidini, ukanda, ukabila yote yanafadhiliwa na bosi hivyo Sinsia atafanya kazi kubwa sana hadi aje agundue nae bosi ni mhusika
NINI KIFANYIKE NAOMBA MAWAZO YENU

duh umenikumbusha mbali....huyo dada alikuwa anaitwa CYNTHIA ROTHROCK aka CINDY......
 
Back
Top Bottom