Vituko vya Pwagu na Pwaguzi

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,609
Reaction score
39,394
Habari za asubuhi wana JF

Kwanza kabisa niwatakie waislamu wote Ijumaa Karim. Pili bila ya kupoteza muda kwa sisi wahenga tuliokula chumvi (wazee wa zamani wanaakili sana wanajua ukiwa mtu mzima utakua umezama chumvini sana), hawa jamaa pwagu na pwaguzi nafikiri mnawakumbuka. Hakuna mtu yoyote mwenye nakala ya kazi zao? Kama hakuna embu tukumbushane kidogo kazi zao, nilikua nafurahi sana zamani nikiwasikia.
 
Mkuu unauliza maswali ya mtego kisheria. Pwagu na Pwaguzi kilikuwa kipindi cha RTD (sasa TBC) ambao ndio wana hati miliki. Sasa kutuambia sie tukupe hizo nakala ni kututega kisheria. Nenda TBC waombe inawezekana wakakuuzia nakala.
 
Shukrani Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…