Mkuu kuna siku tulimfata Kijana mmoja anaitwa SAMILO unamjua Samilo""? Ah ah ah hio siku hio jombaa Tandale iliwaka moto Tandale ilisimama Wima...**stori ya samilo huyu jamaa maskani yake posta ni mpigaji wa kwenye magari mwiz hatar sana kila mbinu unayoijua ya upigaji yeye anaijua style zote anatumia mpaka uchawi, masterkey, spry, kushikilia kitasa n.k..
Siku ya tukio hassan ameingia bank holland pale CRDB ktk gari kuna pesa milion moja Samilo amenusa ameipitia pesa ktk gari...hassan amemaliza kilichompeleka Bank anarudi ktk gari yake mazingira yapo tofaut dah anagundua ameshaingizwa mjini..akawasha gari akarudisha report mtaani ONE NIL Smart Area mwananyamala...tukatoka mtu tatu mpaka eneo la tukio na gari lile lile tukakuta parking ile ile ipo wazi..** tukamfata dada mmoja wale waparking tukampiga bit kisawasawa dada akatoa infro kuwa wenye michezo hio ni wale wale wanaojitia kuosha magari ktk kuchekchek tunamuona muoshaji mmoja km anatukwepa kwepa hivi bila kuchelewa tukamshika tukampa vitasa vingi tu tukamwambia umetuibia ile kesi yote tukampa yeye anaitwa tibaigana huyo jamaa tukamwambia tunakwenda na wew mwananyamla vuuu polis wakatuzungaka "niaje niaje majamaa" "wazee huyu mwizi wetu tunaomba mtuachie tu" halloo hapana twendeni kituo cha kati poa tukamtia ktk gari na polis wawili njiani jamaa akatuambia aliyewapiga pesa zenu ni samilo maskani tandale sana sana uwanja wa fisi
Nafupisha ni stor ndefu sana pale kituo cha kati tuliyajua mengi sana kuhusu wezi wa city centre na mahusiano na mama moja mkubwa hapo kituoni kipndi icho
**Tunajipanga kuingia tandale sasa tukatafuta mateja wawili wa tandale wakawa maspy wetu pesa ya kete wakapewa aftr two days report ya samilo ipo mezani..haice moja, vits moja na carina moja wandewa wamejaa kila gari hakuna mwenye panga wala kisu ni NAKOZ tu tukaifunga uwanja wa fish yote ni nakoz tu kila aliyejitia kimdomdomo tukamchuka Samilo wetu mpaka mwananyamal....