Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,189
Ahahha hawezi kuwa na pics zangu mm pics zangu wanazo rafiki zangu ambao tumeanza darasa moja mpaka tunamaliza nipo nao tulikua wa3 tu tulikua zaidi ya nduguHahaha halafu nawaza baada ya huyo dada kuambiwa upo humu anaamua kujiunga na kuanza kuchati na wewe kwenye uzi huku anakutaja kwa jina.
Naomba atume na picha tu enzi uko shule