Fafanua mkuu walikutengeneza nini na ukawa tengeneza nini?Vibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera