Limbani
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 1,438
- 444
Prof Vulata alishafarikiNimeishi na kusoma mwananyamala.Kuna mganga mmoja wa kienyeji alikuwa anaitwa profesa vulata (sijui yupo wapi nowadays).Kuna jirani yetu alienda na nduguze kupata tiba ktk clinic yake.Wakati tiba na manyanga yakiendelea,ghafla mpiga nyanga akashuka na dari puuuuu hadi chini alipokuwa mgonjwa na nduguze.Mgonjwa na nduguze walitoka mbio acha tu.