SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,077
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mazee...
Kuna ile Guest House iko mkabala na uwanja wa Mwananyamala B kama unatokea zilipo Ofisi za CHADEMA kwa sasa (Masana Dispensary).
Kuna geti pale kama vile linaingia nyumba ya mtu binafsi kumbe ni njia watu wanapita, unatokezea sokoni Magengeni.
Hiyo Guest inaitwaje??? Hivi inafanya kazi???
Hiyo Guest naifaham,hapo nimepita sana ni boda la waenda kwa miguu hilo kwa wanaotoka Makumbusho,ila jina lake silijui,ni uchochoro mreeefu sana