tarki abdallah
Senior Member
- Dec 10, 2016
- 158
- 97
Ktk hilo mimi siamini,kwasababu mfuhawezi kugeuka bana,ukiona kuna maiti amechanua miguu jua muhudumu alikuwa na lake jambo maana hata wafu nao ni diliJamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.
[emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
Usiogope ile ni kazi km kazi nyingineHii shughuli naiogopa Ile mbaya
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]hao sio marehemu, umeingizwa chaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukitaka upate kichekesho hiki wasiliana na dada Mwasita MojaMshana tokea aanze kushabikia chadema, amepoteza mvuto
MmmmmhhhJamani jamani jamani pale mahali paoneni hivi hivi, pana vibweka pale mwanzo mwisho, na Kama kuna viumbe wana visa vibaya marehemu wanaongoza
Kama mtu alikuwa malaya kwenye uhai wake hata akifa maiti yake huwa na pozi zile zile.
Mtu katili hufa na ukatili wake na hata pale mochwari maiti yake huwa na dalili zote.... Wabishi matapeli wachawi nk hubaki na hizi tabia hata pale ndani
Huwezi amini maiti uliyokuwa umeiweka vizuri tu ukaikuta imechanua miguu.
[emoji87] [emoji85] ,ama maiti nyingine kuikuta tu imegeuka yenyewe ...! Unakaa na kujiuliza na mshangao mkubwa hii imegeuka saa ngapi? Ama imegeuzwa ?[emoji35] [emoji35] [emoji35] na nani?
Mbaya zaidi ni zile zenye tabia ya kukonyeza.... Yani live kabisa ukiangalia unaona marehemu anakukonyeza.... Walevi mateja mabosi nk wote wapo kwenye kile chumba.
Na kuna wakati mochwari attendant hujua kabisa kwamba Leo mochwari patafurika ama mzigo utakuwa mdogo.... Ni uzoefu tu wa kazi.
Nikimkumbuka yale niliyokutana nayo wakati ule naona kabisa kuna mengi bado hatuyajui.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Angalia profile ya mshana jr mkuu kazi yake ni mortuary attendant unaponuuliza amejuaje ni unamkosea heshima kwa kweli
Najuta kupita hili jukwaa dah leo taa itapiga kazi usiku kucha
Dah afadhari yako hujapitia na usipitie nakushauriNikumbushe kesho nisome huu uzi wakat wa mchana...
Mkuu Dar sipati picha utakuwa kauzu kiasi gani maana kuangalia maiti mda wote kunaitaji moyo nilikuwa pale Bombo hospital Dar wale jamaa wa Mortuary pale ni makauzu ile mbaya tena wanavuta sigala Kubwa[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]