JULIUS MKANYIA
Member
- May 8, 2012
- 29
- 4
Mmasai mmoja alikodi chumba Guest House, na mara tu alipoingia kwenye chumba alichokodi ili alale, akakuta kitanda kimeshachomekwa chandarua. Kesho yake asubuhi Mhudumu akaja na kuingia chumbani kwa Mmasai akamkuta amelala chini, ikabidi amuulize Mmasai mbona umelala chini? Mmasai akajibu; unafikiri Masai ni mujinga saaaaaana aingie kwenye mutego.