Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

huyu jamaa anatembelea mahaba ya mama ake, hivi hana baba? mzee mongela ndio nani?
 
Anakusanya kadi za makamanda feki wakati amevaa gwanda!? Hapa atakuwa aliwadanganya, kuwa anatoka makao makuu Chadema hivyo ametumwa kuzichukua ili wapewe mpya.
 
chadema ni noma,siku hizi ukitaka kuonekana mchapa kazi jitahidi upate angalao kadi kumi za chadema unasifka kuliko mtu aliyepelekea wananchi maji
 
Ana-reflect akili za aliemuwezesha.

Kama humjui, hili jukwaa halikufai
 
Hivi Karamagi kamrudishia Mkewe. Maana Karamagi alimpokonya mke huyo

WAHAYA!
Kama kila mmoja ajaye mnamtoa kasoro mnataka mtawaliwe na mtu wa aina gani? Mbona kijana yuko fair sana kwa wananchi na mara zote anashinikiza DED kuhakikisha wanawajibika kwa wananchi wote bila ubaguzi wala kinyongo!
 
Kama kwenu mnatawaliwa, Kagera hawataki wala hawahitaji watawala.
 
Wakuu wa mikoa na wilaya ni mbwa wa CCM tu hawa.
 
nawadharau sana wakuu wa mikoa,kazi yao ni kufanya vikao vya ccm kwenye kumbi za ofisi za mikoa bila kulipia na wanalazimishaga chakula cha vikao vya hayo majambazi zilipwe kutoka fedha za serikali..ni takataka kabisa,wakuu wa wilaya ndio wapuuzi kabisa,hulazimisha madreva kusaini leja za mafuta kwenye vituo vya mafuta wakati mafuta wamepewa makada wa ccm,wenye misimamo hukataa na kutuletea habari za wizi kama huu!ccm ni majizi na ushahidi upo mwingi tu..

we mambo ya ccm yanakuhusu nini
 
Alimkimbia Lema huku Arusha akiwa mkuu wa wilaya ya wajanja. Huu ukoo wa panya ni hataree sana. Wamemtoa roho Mgimwa mtoto amepewa fadhila aka kupoza issue
 
WAHAYA!
Kama kila mmoja ajaye mnamtoa kasoro mnataka mtawaliwe na mtu wa aina gani? Mbona kijana yuko fair sana kwa wananchi na mara zote anashinikiza DED kuhakikisha wanawajibika kwa wananchi wote bila ubaguzi wala kinyongo!

toka hapa, hujui miccm inawaambia maded na wakurugenzi kuwajibika kwa kuwanyima wananchi haki yao. We upo nchi gani?
 
Wacha nimpigie dr Amani yule mbabe wa municipaa ya bukoba tusikie kitakachotokea
 
Back
Top Bottom