Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

Vituko vya Mkuu mpya wa Mkoa Kagera John Mongela

chama cha mapinduzi ndo kimeharibu mkoa ule!, wanachama wanaumbea umbea sana!, majungu mtindo mmoja!
 
Mongela ni mtani wa wahaya. Hawawezi kumfanya lolote. La msingi tuhuma zilizoletwa na mwanzishaji wa uzi huu hazina mashiko. Yawezekana wana mambo yao binafsi na sasa anatumia jukwaa hili kujaribu kumchafua mwenzake. Tabia kama hizi ni za hovyo, tuachanane nazo.
 
Mongela ni mtani wa wahaya. Hawawezi kumfanya lolote. La msingi tuhuma zilizoletwa na mwanzishaji wa uzi huu hazina mashiko. Yawezekana wana mambo yao binafsi na sasa anatumia jukwaa hili kujaribu kumchafua mwenzake. Tabia kama hizi ni za hovyo, tuachanane nazo.
Acha ubishi. Mleta uzi kasema ukweli. Huyu RC ni kituko kabisa. Kuna mambo mengi ya kijinga anayafanya. Yaani sielewi akili yake ikoje.
 
ndio maana
Kati ya mikoa migumu kukaa ukijifanya mjuaji wakati wewe ni mgeni ni Kagera hasa hapo Bukoba mjini na vijijini....Wahaya ile tabia yao ya Nshomile siyo kuwa imeisha hivihivi...jamaa wana mitandao mirefu watakufatilia hadi mwisho na utang'oka tu.
Mifano ipo...kuna afsa elimu wa idara ya sekondari alikuwa Bukoba vijijini anaitwa Yassin almaarufu kama KITENTYA, kutoka Kigoma jamaa alikuja na mbwembwe akiapa kukomesha wahaya mwisho wa siku kahamishiwa wilaya mpya huko Simiyu na barua za onyo kibao...

Waliokuja wakawa simple kama afsa elimu wa mkoa ni miaka kibao sasa wapo na wakitoka wengi wataumia maana ni watu wa watu...
ndio maana kuna mkuu wa wilaya aiwachapa viboko walimu wao wazembe
 
Sina nia ya kubeza utendaji wa mkuu huo wa mkoa lakini tangu aanze kazi vituko vyake vinashangaza umma kwa kuwa viko vingi.baadhi katika picha na video nitakuwa nakuletea kimoja baada ya kingine.Hapa ni ili utazame kama kweli tunahitaji kuwa na vyeo hivi vya wakuu wa mkoa.

1:Mkuu wa Mkoa abomoa ngome ya CHADEMA Rutoro
Hii ni habari kubwa iliyopewa kipaumbele na redio za kijamii pamoja na mitandao ya mkoani kagera,kwamba alipofika katika ziara ya kutatua mgogoro wa ardhi katika eneo hilo pamoja na mambo mengine ametumia nafasi hiyo kuomba walioko upinzani kurejesha kadi zao na waliohitikia walizikusaya na kumpatia.kwamba hati kusikia habari za upinzani katika mkoa wake.Tazama picha
rt%2B3.jpg




2:RC mpya Kagera afuta siku ya Usafi iliyoanzishwa na RC Masawe
Mkuu mpya wa Mkoa John Mongela amefuta uatartibu wa kufanya usafi kila alhamisi ulioasisiwa na mtangulizi wake Fabian Masawe.Amekaririwa akisema 'kazi ya kuafanya uasafi ni ya mabwana na mabibi afya' siwezi kufanya uasafi mimi,nina majukumu ya maana.


3: Kituko no 3:
Mkuu wa Mkoa wa Kagera ameagiza watumishi wote wa ofisi yake bila kujali dini zake kushiriki katika suala la usafi wa jumuhiya kila JUMAPILI kuanzia saa 1:30 asubuhi katika hospitali ya mkoa.kila mtumishi afike na jembe,fagio nk. agizo hilo limeanza utekelezwa licha ya waumini wa dini ya kikristo kulalamikia hali hiyo

4:Kituko no 4
Mkuu wa mkoa jana ametangaza rasmi kuwa yeye ni mkuu bora kuliko waliomtangulia,anawashangaa kwa kutoleta maendeleo ya kagera kama atakavyofanya yeye....

Vituko vipo 35.Nitakuwa nakupalia kimoja baada ya kingine
We mleta hii mada ni jipu. Mara umesema kafuta siku ya usafi, mara kasema hawezi kushiriki usafi, mwisho unasema kaagiza kila jumapili watu wakafanye usafi na waende na vifaa vya usafi akiwemo na yeye! we una chuki binafsi.
 
wewe kweli akili huna. unadhani kuna umuhimu sana wa wewe kuona? kwani wewe ni nani hata usipoona?
Mi nimeona kadi za saccos ya Mbowe zinakusanywa toka kwa malofa tu. Au ndio kituko chenyewe!?
 
Ufagio mpya hufagia vizuri na wazamani unajua uchafu uliko.
 
Moja ya mikoa mepes sana kuiendesha na kuwaendesha watu wake ni bukoba.so hao watu wangekuwa wagumu wasingekubal kwenda kazin jumapili.now wameishia kulalamika.watu wa bukoba ni waoga na wanafiki sana mimi nmekaa huko miaka zaidi ya 10 ungenambia arusha,mbeya,mara/musoma na mwanza kidogo but si bukoba hata kidogo.
 
Sikuizi sijui kwanini kila mwisho wa mwezi nikikatwa kodi toka kwenye mshahara kwa ajili ya kuchangia nchi nakuwa na furaha sana
 
Huyu ndiye aliyeamuru wazaz wote ambao hawatawanunulia watoto wao sare za shule,viatu,madaftar,wachapwe bakora
 
Back
Top Bottom