jamani kwa nini hamuheshimu viongozi wenu? hamjui hao ndo wanahangaiaka kwa ajili yetu mpaka sasa tuna amani?
Hivi huyu jamaa ana uhusiano wowote na Getrude Mongella?!
Huyu jamaa toka anipore demu wangu Betila na kumuoa sina hamu naye kabisa..najuuuta kumfahamu
Hivi huyu jamaa ana uhusiano wowote na Getrude Mongella?!
Hivi huyu jamaa ana uhusiano wowote na Getrude Mongella?!
2:RC mpya Kagera afuta siku ya Usafi iliyoanzishwa na RC Masawe
Mkuu mpya wa Mkoa John Mongela amefuta uatartibu wa kufanya usafi kila alhamisi ulioasisiwa na mtangulizi wake Fabian Masawe.Amekaririwa akisema 'kazi ya kuafanya uasafi ni ya mabwana na mabibi afya' siwezi kufanya uasafi mimi,nina majukumu ya maana.