Mimba noma, kuna jamaa
alitolewa night kali akatafte
vitango tena kwa kilio, ikabidi jamaa amuamshe muuza vitango tena mbali na home kwao, jamaa aliporudi akaambiwa avioshe na avimenye then avikate alipomaliza akavipeleka, mwanamke akamwambiwa akae chini ya maskio ya mkewe avitafune vyote! Kumbe dem alitamani kuskia kitango kinavyotafunwa!