Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 455
sipati picha hapo yaan mnakunya huku mnatizamanaMafundi motomoto tupo.. tupeni kaziView attachment 1535668
hivi fundi maiko alilipwaga ?Mambo ya fundi maiko hayo🤣🤣
hatari sema ni salamaUtaishi huku juu?View attachment 1537731
Hii itakuwa guest...mmiliki anajua kuwa wapo wakina mzabzab wavunja vitanda
hata hapo chini sipitiUtaishi huku juu?View attachment 1537731
hii inawezekana imefanyika makusudi kzigeuza tiles labda zilishavunja mwenyenyumba mguuu
Hapa ushindwe mwenyewe kutia mimba
Public toiletMafundi motomoto tupo.. tupeni kaziView attachment 1535668
Lengo nini?Mafundi motomoto tupo.. tupeni kaziView attachment 1535668
Aina hii ya vitanda ipo sana mikoa yenye mchwa wengi. Hata 'ceiling board' ni za bati.
Sioni kama ni kituko
Maarufu kama fundi MichaelHuu uzi ni kwa ajili ya kuwaenzi mafundi Ujenzi ambao wanafanya vituko na kuharibu kazi, sijui ni kwamakusudi au wateja wao ndio wanakua wametaka hivo.
1. Nyumba
2. Barabara
View attachment 1534032
Huu Sasa ubahili