Baada ya kujadiliana mengi kuhusu Mirungi na wala mirungi....sasa hebu tujulishane statehe zake ma madhara yake kabla hatujamuomba Mh.Msukuma kuwasilisha bungeni tena ili ihalalishwe
Kwakweli sijui...ila kuna jamaa yetu alikua kinyozi alikua anapenda mirungi afu anagoma kabisa kula msosi hadi siku akataka kutufia na njaa tukamtandika fimbo za kutosha lakini wapi yeye na chakula kama paka na panya..
Kuna mshkaji kitaa aligongwa na taxi alikuwa anavuka barabara bila tahadhari koz ya andasi ya mirungi...akavunjika mguu na mkono cha kushangaza akawa hata halii yaani traffic wamefika jamaa mashavu yamejaa gomba.! Wakasema muacheni tuu hapo ana ganzi ya hatari ya mirungi tumpeleke hospital ya Selian (Ngaramtoni) ila andasi ikiisha ganzi itakata na hapo ndipo atakapotoa kilio cha mbwa koko daah nlichoka sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.