Vituko ndani ya JF; Upande wangu wa simulizi

Vituko ndani ya JF; Upande wangu wa simulizi

Hapana, huyu ni Mkenya anaitwa nikk mutuma ingia Google utamjua vizuri
miaka yote najua huyu jamaa kwenye avatar ni Daby OG kumbe ni Mkenya?
e72c5102c9f83176918b0cf637383363.jpg

d1e84ac25622e9c783ae381fc2e8e52f.jpg

5ddbfb4bfc523712689d394ca4272481.jpg
314fc650201194d5cc8c86cd8e12d962.jpg
3fe73ad6a04a321fa3c2fde557132dc9.jpg
3c7231b595ec70032d303da8f5730499.jpg
aeb47141c3b915c580f50c383a6ff482.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukaa na ID moja kwa miaka 7 kama akina sisi si mchezo. Wengi wanabadili ID baada ya kuharibu. Mimi sijawahi hata kupata BAN ya nusu saa!
Ila wanaobadili ID huwa wanatupa changamoto sana!
 
Kukaa na ID moja kwa miaka 7 kama akina sisi si mchezo. Wengi wanabadili ID baada ya kuharibu. Mimi sijawahi hata kupata BAN ya nusu saa!
Ila wanaobadili ID huwa wanatupa changamoto sana!
Nilijiunga hapa mwaka 2009, nina Id moja tuu, ila nilibadili user name kwa sababu ile ya kwanza ilikuwa inafanana sana na jamaa mmoja hivi, ikawa inaleta sintofahamu katika uchangiaji.
Bahati mbaya sana huyu mtu alikuwa wa itikadi tofauti, nilikuwa nakereka sana na michango yake na majina yetu yanafanana. Nikaamua kubadili jina.

Sijaona umuhimu wa kuwa na ID zaidi ya moja.
Ukiwa na uhakika na unachokisema /kuchangia huna sababu ya kuogopa wala hutapata BAN.
Kama tabia zako hazina utata, jina la pili la nini ,unaficha nini.
 
Hahahahahaaaaaaa.

Hii ya kujisifia na ID nyingine iko poa sana.

Kiukweli watu wanavituko sana humu ndani
Hahaaaa. Mdogo wangu watu wana kazi bana, yaani anaanzisha ID mpya ili tu apate kujisifia na kujipaisha.

Na vituko vyake haviwezi kuisha zaidi ya kuongezeka kila kukicha
 
Hahaaaa. Mdogo wangu watu wana kazi bana, yaani anaanzisha ID mpya ili tu apate kujisifia na kujipaisha.

Na vituko vyake haviwezi kuisha zaidi ya kuongezeka kila kukicha
na vinazidi kuongezeka siku hadi siku...yaani acha tu

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Mimi nashangaa tuu majina ya wakuu huku kwenye hili jukwaa,yaani kuna majina yanachekesha na kufikirisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom