gifted mind
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 344
- 203
Katika mwezi mzima lazma kuna siku kama 5 hivi ambazo mwanamke anakuwa off mood kwa hiyo msikasirike wakuu.Wachukulie kama walivyoWakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
Hamna cha kujichoresha wala nini mimi nahesabia pale pale.Ila nmb mwanjelwa wanawake ma teller wezi balaaa. Yaani hawamwibii anayetoa laki tatu au tano nane wanadeal na anayetoa hela milioni moja na zaidi wakijua wazi hutahangaika kuhesabu pale kwamba utajichoresha. Wanakuchomolea elfu kumi tu basi.
Nimelizwa mara mbili jamani wafanyakazi wa benki mateller muwe na huruma hizo ni laana tu msiwe na tamaa na hela zetu.
Nmb mwanjelwa ni mojawapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alivyo umba, mwanamke alimpa roho ya ajabu sana inabidi kuwavumilia tuuu. Anaweza akakutukana matusi ya ajabu baada ya siku chache anakuomba msamaha na anataka uwe nae katika kumsaidia kimaisha ingawa alishakuonyesha dharau kubwa. Mfano mzuri ukitaka kujua wanawake watu wa ajabu. Muwe mnafanya kazi wewe unapata mshahara na yeye anapata mshahara lakini pesa yake aiwezi kuonekana hata kidogo na mizinga na majungu anakupiga piaKwa ujumla wadada ni wa kuwachukulia kama walivyo tegemea usichotegemea toka kwao, mungu alishamalizana nao kitaaaambo
Sent using Jamii Forums mobile app
yule dada yuko poa sana nataka nimle...unaeza ni connect nayembona kuna dada crdb mtwara mchaga hivi mweupe ni tellers,she is so kind and honest yaani ni mdada poa sana
duuu kumbe hela nyingi mazee.....!!!!nyodo nyiiiingi mshahara wenyewe 600,000
Laki Sita kwa demu inamyosha lazma awe na nyodo.nyodo nyiiiingi mshahara wenyewe 600,000
Point mkuu!!!, yote uliyozungumza nimeyashuhudia, la kwanza hilo la kutukanwa, kuna kademu cha kimbulu nilikuwa nacho kuna siku kakanitukana balaa kwenye simu, mm nikakaa kimya sikumjibu chochote kesho yake ananiomba msamaha huko akiomba aje ghetto nimdinye, na alivyokuwa na mkia sikumkatilia nikamwambia njoo mama ila moyoni mwangu nilishamtoa thamani.Mungu alivyo umba, mwanamke alimpa roho ya ajabu sana inabidi kuwavumilia tuuu. Anaweza akakutukana matusi ya ajabu baada ya siku chache anakuomba msamaha na anataka uwe nae katika kumsaidia kimaisha ingawa alishakuonyesha dharau kubwa. Mfano mzuri ukitaka kujua wanawake watu wa ajabu. Muwe mnafanya kazi wewe unapata mshahara na yeye anapata mshahara lakini pesa yake aiwezi kuonekana hata kidogo na mizinga na majungu anakupiga pia
Pole bwana mdogo,Ila account yako ukiwa na mzigo wa kutosha huwa wanajichekesha tu utapenda,lakini kama ndo unaenda kuulizia mshahara wangu vipi umeingia subiri jibu lake.Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
Kuna wengine wanafanya,kazi wasioipenda , mimi nimefanya nao kazi na nimekwishawahi kuwa teller ,sometimes kazi za mule zinachosha na ku bore, unapewa dakika 10 za kula chakula ,na unapewa target za kufa mtu , so uvumilivu kwa wengine mdogo, anakuwa na frastruation za majukumu ,ukikose a ka kitu kadogo anakuza .Point mkuu!!!, yote uliyozungumza nimeyashuhudia, la kwanza hilo la kutukanwa, kuna kademu cha kimbulu nilikuwa nacho kuna siku kakanitukana balaa kwenye simu, mm nikakaa kimya sikumjibu chochote kesho yake ananiomba msamaha huko akiomba aje ghetto nimdinye, na alivyokuwa na mkia sikumkatilia nikamwambia njoo mama ila moyoni mwangu nilishamtoa thamani.
Tukio la pili kuna jamaa tunafanya naye kazi ana mke yuko bank NMB, mke anamzidi jamaa mshahara ila mpaka pesa ya mafuta ya gari analoendea kazini mke jamaa anatoa, kiufupi mke pesa yake jamaa hajui anafanyia nn. Majukumu yote ya ndani, ada za watoto nk jamaa ndio anawajibika, basi ukimkuta mshikaji anahadithia anatia huruma sana wakati mwingine huwa anajuta kuoa huyu demu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana mm Pia nilikuwa tz huko mwaka Jana,nipo nmb eneo x kidada kikawa kinanijibu jeuri nilikipaka hatari nikakiambia ngoja niende tawi jingine wewe Ni mpuuziKuna vitu nilienda kulipia manispaa ya kinondoni, ss ndani mule kuna crdb, basi nikakaa foleni wee kuja kutahamki kumbe system imegoma transfer hazifanyiki basi huyooo kwa uzoefu wangu mdogo nikaenda kwa wahasibu nilipie kwa cash, wakanijibu kistaarabu kwamba hawawezi kupokea cash mpaka bank wawataarifu, nikarudi bank nikaingia na kumwambia 'bi teller', waambieni basi kule watupokelee cash...weweee alivyonijibu kwa nyodo na dharau eti 'nani kakupa ruhusa kuenda kule'...mama mama mama wee kilichomkuta naona aliniota usiku, nilimbadilikia ghafla nilimfokea km mbwa nikamwambia hela yangu ndo inakuweka hapa so uwe na adabu nikampaka vzr sana alinywea km mchicha uliochemshwa!
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.