Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,868
- 5,106
Mpaka tutakapoondokana na dhana ya kudhani kuwa ndoa ni public issue bali ni suala binafsi na la kimila zaidi, ndipo wengi watafunguka na kuachana na tabia ya kujitangaza wanapooa au kuolewa au kuozesha.Habari zenu wakuu
Aisee ipo hivi kuna jirani hapa mtaani anakijana wake anatarajia kuoa mwaka huu hivyo nikapewa mwaliko wa kikao cha kwanza cha harusi ambayo ilikua ni weekend.
Ila tokea nilipopata mwaliko nikawa nawaza why kikao kikafanyike mahala pagharama hivi wakati kuna sehemu za kawaida tu au hata nyumbani kwa huyu jirani tungefanya kikao.
Aaah..! Ila nikapuuza na wala sikumuhoji muhusika zaidi ya kuitikia wito na siku ilipofika nikaenda kwenye kikao hivyo tulio wahi tukakaa kidogo kusubiri watu wengine then kikao kikaanza.
Nilianza kuona utofauti walipotaja budget ya ndoa ni 30.4M na kisha ahadi ya muoaji ni 1M na ahadi ya wazazi wa muoaji ni 2M, kimoyomoyo nikajisemea hivi hawa kenge jangwa ni timamu kweli wanategemea 27.4M watazipata kwa kuchangiwa.
Pledges zilipo anza kila mtu akatoa ahadi yake pale hadi tunafunga kikao ahadi ni 10M kwahiyo kuna loss ya 20.4M na ukumbuke kuna walioahidi ila hawatakupa mchango.
Nawasilisha.
π€£π€£π€£na ukumbuke kuna walioahidi ila hawatakupa mchango.
Hii nzuri sana, nikitaka kioa naenda zangu zenji huko na wazazi wa binti na wangu na mashahidi kama wanavoonekana hapa pichaniπNi ujinga kutaka kuoa hapaf ukategemea michango angejipanga mwenyewe tu kama hawezi gharama simpo angeoa bila tarumbeta yan kama ni mwislam ni shekhe mashahidi wa pande zote mbili na watu wawili watatu simpoo ukitoka hapo tayar mu mke na mume halali wa ndoa!!
Hata ya wanafamilia wako uchangi?[emoji848]Kwa hiyo 1M ya kijana na 2M za wazazi zingetosha kabisa kufunga ndoa na maisha Kuendelea bila kusumbua watu. Mimi binafsi nishaacha kuchangia harusi kitambo sana kabla ya mapolisi hawajaacha kuvaa kaptula.
Mimi nilioa bila mchango wa mtu hata ndugu sikuwaomba michango kabsa ila walikula wakanywa na bajeti nzima haikuzidi 4MHata ya wanafamilia wako uchangi?[emoji848]
ππππ halaf mahari iwe msahafuHii nzuri sana, nikitaka kioa naenda zangu zenji huko na wazazi wa binti na wangu na mashahidi kama wanavoonekana hapa pichaniπ
Itakua kilikua kikao Cha ndoa ya Mr kuku
Yule jamaa Ni bonge la masterplan hapa mjini[emoji4]
Ningeomba niongee na Muweka hazina faragha wakichanga tukiamshe na mumewangu aiseeπππ
Hawa umasterplan wowote mkuuItakua kilikua kikao Cha ndoa ya Mr kuku
Yule jamaa Ni bonge la masterplan hapa mjini[emoji4]
Sisi Wakristo tuna mlolongo sana kwenye ndoa ilaNi ujinga kutaka kuoa hapaf ukategemea michango angejipanga mwenyewe tu kama hawezi gharama simpo angeoa bila tarumbeta yaani kama ni mwislam ni shekhe mashahidi wa pande zote mbili na watu wawili watatu simpoo ukitoka hapo tayari mu mke na mume halali wa ndoa!!