Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,988
Si ndio Mkuu,hakuna mambo mengi kabisa, hiyo pesa ya budget ya harusi kubwa bora kujenga nyumba😂😂😂😂 halaf mahari iwe msahafu
Si ndio Mkuu,hakuna mambo mengi kabisa, hiyo pesa ya budget ya harusi kubwa bora kujenga nyumba😂😂😂😂 halaf mahari iwe msahafu
yani uwe mwislam utake harusi ya kifahari ni umependa hatuna makuu kabisa,Si ndio Mkuu,hakuna mambo mengi kabisa, hiyo pesa ya budget ya harusi kubwa bora kujenga nyumba
Sisi Wakristo tuna mlolongo sana kwenye ndoa ila
Waislam wako simple mkuu nakumbuka kuna classmates wasuni chuoni hapo SUA walioana wakiwa chuoni na hadi leo wako pamoja
yani uwe mwislam utake harusi ya kifahari ni umependa hatuna makuu kabisa,
Aisee hiyo Hela wanipe tu tupike chai na maandazi harusi ipite Kuna hajagani kufanya harusi ya mamilion alafu mkitoka honey mnakula ugali dagaa😂Wanawake wenye akili hizo hamtongozwi na wanaume wa aina hizo.
Nyinyi mnapambana na kina sisi waunga unga maisha tu. Ambao hata harusi ya milioni 1 bado tunaipinga
yeah sku hizi watu wanataka ufahari ukienda ukumbini ni hio kuwapa watu kula tu hamna cha maana, kwa sis uende usiende ndoa ni hiohio ubani upiteWaislam wengi wameingia huu mtego wa wakristo.
Naona harusi nyingi za kiislam zinaenda ukumbini siku hizi. Bajeti mamilioni kibao