Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20231126-031227.jpg
 
haswa wasukuma wanamila potofu za kuzaa ovyo
Bango linaonya kuhusu maambukizi ya UKIMWI Wasukuma wanaingiaje hapo na wewe dogo?

Mila potofu maana yake nini? Hawana uwezo wa kulea watoto wao ama shida hasa ni nini? Ni wingi wao ndiyo unakutisha ama nini sasa?

Akina kiduku wanalia raia zao wazae halafu wewe unasema eti kuzaa ni mila potofu? 😳😳😳

Screenshot_20231209_155320_Instagram Lite.jpg


Na pamoja na wingi wao na hizo mila unazoziita potofu, UKIMWI uko huko Njombe, Iringa na Mbeya kwa Wanyaki huko. Umeniudhi sana japo hujaniudhi kivile 😁😁😁

Screenshot_20231211_052309_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom