Mmmmmh mwili umesisimka.WALE WANAOENDA KULA SIKUKUU VIJIJINI PIGEN SIMU MAPEMA WAFANYIE USAFI KILE CHUMBA UNACHO SHUKIAGA... VINGINEVYO UTAYAKUTA YALIYO NIKUTAView attachment 2833688
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji419][emoji419]View attachment 2833781
🤓🤓 acha vituko mkuu
Jamani hii connection mbona imenipita...nipe wajuba[emoji12][emoji12][emoji12][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2833401
Kudadeq....usafi ni muhimu mkuu[emoji23][emoji23]Katika vitu watu hawachukulii serious ni hii. Kuna siku nilikuwa hospitali pale Palestina nikasikia manesi wanaongelea kuhusu majeruhi waliyetoka kumpa huduma ya kwanza, aisee ni aibu![emoji16][emoji16]