Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yeah Nipo na Laana
Sema hanipi UTI wala Gono, hanikwapua kibunda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nyie hii kampeni si jf tu,ata kitaa mambo ni hivyo[emoji23][emoji23]

Kuna mmoja jana kasema kila akiacha vichenji kwenye suruali alikuwa avikuti lkn sasa anaishi na amani akiacha pesa anaikuta, na kasema hana mpango wa kuoa tena[emoji23] nilicheka.
 
mmezidi udangaji, mxiu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…