Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
hivi ni kweli upo kwenye 70s?Ukifikisha miaka 78 utaula tu tena kwa furaha. Nakuombea ufikie huku 78 siku moja utaikumbuka hii post yako na utaishia kujicheka tu 😁😁😁
#KijanaLindaAfyaYako 📌📌📌
hawa ni lemur wanaitwa aye-aye wanapatikana madagascar
juju.com
Hakuna tunguli hapo na vinyamkera havihusiani na tunguli mbona?hawa ni lemur wanaitwa aye-aye wanapatikana madagascar
acha tunguli[emoji23]
nikajua vinyamkera ni viumbe vya kichawi mimi....