BAe Jetstream 31 mali ya Shirika la Ndege la Lanhsa ilipata madhara makubwa kwenye pua yake #Radome baada ya kugongana na ndege hai.
Ndege hiyo ilitua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Puerto Lempira (PEU/MHPL).
Hakuna tukio zaidi lililoripotiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.