Vituko mitandaoni. Tupia chako

Daaah, kweli bongo mpaka tutoboe Yesu atakuwa amerudi
 
Mimi mara ya mwisho kuwa na wivu wa kuchapiwa ni 2012, nilipigiwa kisura changu kipindi hicho nikiwa naona!
Leo hata itokee nini kuchapiwa sioni kama ni issue, ila na mimi nikichapa nisiulizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…