Vituko mitandaoni. Tupia chako

Sote tukiwa miongoni mwao wengi tulio potea kwa namna tofauti katika makundi yetu kwa mfano wa huyu kondoo, ombi langu tujaliwe kukutana na huyo alienwaacha wengi wenye thamani na kushika njia ya kututafuta sisi tusio na thamani.
Asubuhi njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…