MAMBO YA KUJARIBU JARIBU OVYO
Jamaa alinunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa
Alipofika kwake akasema:
Ngoja nikijaribu'
Akakivaa kwenye uume akakiwasha
Kikawa kinamtekenya mpaka akafunga goli
Sasa akawa anaangalia pakuzimia hapaoni
Bahati nzuri akaona namba ya kampuni
Achaichukua akapiga simu ili kuwauliza aizime vipi
Wauzaji wao wakamjibu ikifika lita tano kitajizima chenyewe
Sasa hapa analia peke yake hajui afanyeje
Sent using
Jamii Forums mobile app