myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Nimekuwa katuni
MdoliNimekuwa katuni
Sumve, imenikumbusha mbali sana enzi za A level, live long sumve high school.
Hujambo bageshi?Sumve, imenikumbusha mbali sana enzi za A level, live long sumve high school.
Lenga mbali. Those days Sumve DDH ndio ilikuwa hosp yetu pendwa. Ndio sehem pekee iliyokuwa inakamata mtandao wa simu.
Kulikuwa na gari moja tu, mtoka mbali. Ukikuta lishaondoka inabidi ulale mwanza au usafiri kwa treni ushukukie kituo cha Mantare.
Licha ya kuwa maish ya shule yalikuwa magumu, ila tulibarikiwa kuwa na headmistress mzuri, alikuwa mama mlezi haswaa, madam Pelagia maua yake tu apokee kwakweli.