Kuna mvutano mkubwa sana kwa kichwaπππKuna msemo mmoja wa Kisukuma unasema hivi:
GΕ«changΔ«ja Δ«dΔ«gΕ«lumanga
Tafsiri yake ya haraka haraka ni kwamba "kukombelezea na mboga ni bora kuliko kula ugali kavu kavu"
Natumaini umenielewa mai dia dota πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Flat screen mnatuandama mno hasa kanda pendwaπ€£π€£
Mbona sina avatar,Mzima kabisa unasura nzuri lkn hiyo avatar si ww? [emoji3]
Hii sio avatar yako?
Wanaume tunasababishiwa mengi.
Mjukuu kasema kwamba kizazi cha sasa kiko vizuri sana. Kilichobakia ni matani tu kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Mvumilie kama sisi Wasukuma tunavyovumilia japo wakati mwingine inauma! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈFlat screen mnatuandama mno hasa kanda pendwaπ€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£Mjukuu kasema kwamba kizazi cha sasa kiko vizuri sana. Kilichobakia ni matani tu kama ilivyo kawaida yetu Watanzania. Mvumilie kama sisi Wasukuma tunavyovumilia japo wakati mwingine inauma! πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
View attachment 2796556