Kweli,mwenyewe nikipika dagaa natumia vyombo vingi,Mara moja moja huwa napika ila sana sana mpaka Mama E akiwepo ndiyo huwa tunajipikilisha pamoja. Wikendi ya wiki hii atakuwepo na nimepanga kupika dagaa na bamia. Yeye sijui atapika nini hata sijui...
Shida ya kupika ni ule mlolongo - nyanya, vitunguu, sijui nini...unakuta masufuria hata 6 yameshachafuka. Bado la ugali. Kesho yake kuja kuyaosha sasa dah![emoji706]
Kuosha vyombo ni mtihani!Kweli,mwenyewe nikipika dagaa natumia vyombo vingi,
Labda ana jinsia mbili.....kuna video niliwai kuona humu ndani anacheza kwenye show flan mzigo unaruka kama mwanaume.Huyu mama huwa wanamsingizia eti ni transgender (aka Big Mike) wakati ni binti tangu utoto wake
View attachment 2793511