Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kweli kabisa babu,maana utakuta mtu mlilala wote asubuhi haamki,kumbe alishakufa tokea saa nane huko na hamjui.Na huu ndiyo muda unaoongoza kwa watu kukata moto. Inashauriwa sana ukiamka wakati huu upige sala ya toba na ulinzi hata kama ni fupi [emoji1545]
Na mm pia naomba kutagiwaπππ.Umejibu vyema sana. Busara tupu yaani! πππ
Hili ni swali la kipuuzi ambalo huulizwa na wapuuzi na kujibiwa kiuhalisia na wapuuzi wenzao maana halina faida yo yote whatsoever; na linaweza kuwa na madhara kama mwanaume hana kifua na awe amependa sawasawa. Binafsi lilishawahi kuniletea matatizo. Kuna siku nitalianzishia uzi. Nitakutag...π
Dah!! Mwambie Junior nakuja kumuona...