Vituko mitandaoni. Tupia chako

We ulikuwa na ngapi kabla hujakutana na hubby? πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
Siri ya kambi...hata mke wako usimuulize hili swali...hata akiwa mmoja utaumia tuu...utasema why mmoja tuu inamaana ulimpenda sana kwangu umekuja basi tuu...wakiwa 20 unapata kisukari....wakiwa 102 ndoa hakuna tena...
 
Siri ya kambi...hata mke wako usimuulize hili swali...hata akiwa mmoja utaumia tuu...utasema why mmoja tuu inamaana ulimpenda sana kwangu umekuja basi tuu...wakiwa 20 unapata kisukari....wakiwa 102 ndoa hakuna tena...
Umejibu vyema sana. Busara tupu yaani! πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Hili ni swali la kipuuzi ambalo huulizwa na wapuuzi na kujibiwa kiuhalisia na wapuuzi wenzao maana halina faida yo yote whatsoever; na linaweza kuwa na madhara kama mwanaume hana kifua na awe amependa sawasawa. Binafsi lilishawahi kuniletea matatizo. Kuna siku nitalianzishia uzi. Nitakutag...😁
 
Shukrani mkuuu..
Haha ni upuuzi kweli...mimi mr hajawahi niuliza kwa sbb alinikuta na mtu sema alikua anazingua yy akawa serious na mipango dhabiti si unajua wanawake huwa na sisi tunaangalia mwenye anataka kutuchukua jumla...sasa angeniuliza hili swali ningemshangaa...
 
Usiache kunitag....uulete mapema labda nitapunguza safari za jukwa la michezo πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwamba jamaa akapindua serikali na kubeba jumla. Safi sana!

Hata mimi nilishakoma na sitakaa niliulize hilo swali tena kamwe! Ukimkuta mtu siyo bikra na hana magonjwa basi unakausha tu na mnalisongesha. Kuchakura chakura mambo yaliyopita lazima tu mtaishia kuchakura matakataka yasiyo na faida kutoka katika jalala lenu la mapenzi ya nyuma. Na hilo halina faida hata moja!
 
Kabisaaa...mwamba akaniweka ndani...

Ni kweli hamna haja na haina afya...kama ulikubali kuoa asie na bikra basi hamna haja ya kutafuta ya nyuma...kikubwa mwanamke ajiheshimu na ajue majukumu na wajibu wake baaasiiii.....
 
Nitajitahidi wiki hii au ijayo...japo siyo mzuri sana katika kuanzisha nyuzi...

Michezo lazima kama Makolo au Uto wanakipiga. Hiyo huwa ni burudani tosha!
Hizo mechi haziepukiki...lazima tucharuane kidogo...
Sawa haina shida upatapo nafasi kikubwa maandishi yasomeke... πŸ˜€ πŸ˜€
 
Jina lake linenitoka ila ana katako ka Mloganzila hivi...mitanange yake na mzee mzima Mandingo, Rico Strong na hata mfalme wa Italy Mike Adriano ilikuwa ni hatari kweli kweli...

Peponi tunakwenda hatuendi?
Dada Bella ana balaa sana. Utaangalia wadau wote for hours ila ukifika kwenye vichupa vyake tu basi ujue it is over and you are going to nut

Anyway, tutafika tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…