Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Hivi unene wa asili hauna tiba?
Hata ukiutoa/ukiupunguza unarudi tuu???
Sasa hawa wa mloganzila.....!!! Wanahakikisha matibabu yatadumu kwa muda gani?
Au utatakiwa kila dozi ikiisha uende tena ukarekebishe tena....???!
Wenyewe wanasemaga ukifanikiwa kwenye ku maintain discipline and consistency...
Basi shida yako imeisha.... ila gharama yake sio ya kitoto. Kwa maana ya kuiishi hiyo discipline na consistency 🤓.