Nini kinaendelea hapa? ๐ณ
This guy is pyua trash ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Hivi kama ndiyo mwanao unafanyeje kwenye hii situesheni. Ndo huyoo karudi home namna hiyo. Unafanyeje? ๐ณ
Naaanua tanga[emoji24][emoji24][emoji24]Hivi kama ndiyo mwanao unafanyeje kwenye hii situesheni. Ndo huyoo karudi home namna hiyo. Unafanyeje? [emoji15]
Wazungu hao. Wabunifu. Wagunduzi!
Mbombo ngafu ๐
Ugonjwa wangu ๐
Fokasi ilikuwa ni nywele nadhani. Manido likely ni coincidence tu ๐Ugonjwa wangu ๐
Umejuaje manido hayo
I swear to God, macho yameangukia hapo wala sijaona nywele ndio nimerudi kuangalia