mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,310
- 75,487
Nilijua tu, kuna binadamu watakuja kukanusha...
Hapa hakuna mke hapa 🚮
Baada ya miaka mitano mtaani brazilian butts za kutosha, vimbaumbau uwanja utazidi kuwainamia[emoji38]
Hii itakuwa Visiwani huko ndiyo wana tabia ya kuwa na haya majina ya ajabu ajabu. Mara Mchambawima, mara sijui nini...
Vimbaumbau flat screen vitakuwa endangered species! 😁Baada ya miaka mitano mtaani brazilian butts za kutosha, vimbaumbau uwanja utazidi kuwainamia[emoji38]