Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kwani amebeba supermarket[emoji23]Niliulizwa ukitaka kunioa utatoa mahari kiasi gani eti nikasema milioni 10 [emoji15]. Mpaka leo ishu ya mahari ikija kang'ang'ania lazima iwe milioni 10 dah! [emoji16]
View attachment 2783358