Jamaa wana sare mbaya, walishindwa hata ku-copy kwetu 🤪
Mambo ya inspiration speakers hayo 🙌
Jamaa kageuza camera hivyo ameamua kuji-photoa mwenyewe 😅
Duh umepataJamaa kageuza camera hivyo ameamua kuji-photoa mwenyewe [emoji28]
Jaribu kufanya uhalisia uone [emoji23]Mambo ya inspiration speakers hayo [emoji119]
Ukiwasikiliza lazima ulie 😅
Kama jamaa ni Wakili Feki na ameshinda kesi 26 kati ya 26 huoni jamaa ni genius 😅Hata hiyo Kesi ya Kudakwa #Atashinda [emoji23][emoji23]View attachment 2781398
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ndiyo wanastahili PhD za heshimaKama jamaa ni Wakili Feki na ameshinda kesi 26 kati ya 26 huoni jamaa ni genius 😅
HakikaHao ndiyo wanastahili PhD za heshima