Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Picha bora ya mwaka 2020.
FB_IMG_15886936465814256.jpg


kama hujaelewa soma comments.
 
akhsante sana mwalimu eeh naona umetumia maneno machache sanaaa huku dakika zikielekeaaaaaaa anakosa pale nani huyu dah naona Leo vijana wana kazi ya ziada kwako mwalimu kashasha
Vijana wanapuyanga hadi naona uvivu kutumia maneno yangu ya kitaalam maana yatakuwa yanaenda bure kabisa. Tuombe refa amalize mpira haraka. Kwako jesse.
😀😀😀
 
Back
Top Bottom