Vituko mitandaoni. Tupia chako

Afadhali ya Yitzhak Rabin maana kama muuaji alikuwa ni wale wanaoitwa lone wolf na hakumwambia mtu huwa ni vigumu sana kuwagundua...na alikuwa mhafidhina wa Kiisraeli nadhani hivyo hata haingekuwa rahisi kumng'amua.

Hii operesheni ya HAMAS ni operesheni kubwa inayohusisha watu wengi na inashangaza kidogo kwamba eti MOSSAD na CIA hawakujua kabisa. Imekuwa ni sawa na Septemba 11 ya Wamarekani.

Tayari wapo wanaotia hatihati kwamba pengine walijua ila wakaiacha iendelee ili wapate sababu ya kuivamia Gaza na kuiharibu kabisa - sawa na wanaodhani kuwa September 11 iliachwa ili kupata kisingizio cha kwenda Afghanistan....
 
Fake tena[emoji23][emoji23]

Unataka pesa mingi[emoji23][emoji23][emoji23],unamjua @mzabzab wewe[emoji16]
Nilimuona huyu mganga mkuu ambaye inasemekana alielemewa kwenye thriisamu nikamkumbuka mzabzab na Mzee wa kupambania maana ndiyo wadau wakubwa wa kupigia chapuo thriisamu humu 😁😁😁

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…