Hahahaaa!
asiyekunywa pombe wala kushobokea pisi kaliWenyeji wa Idodomya mpo? Viwanja vikali vya kujivinjari wikendi hii kwa mgeni asiyekunywa pombe wala kushobokea pisi kali viko wapi mitaa hii ya Uswahilini?
View attachment 2773313

Too old for (useless) utelezi...more into healthy foods, leisure, misambwanda watching, reading and conversing with intelligent women like Mama E.....asiyekunywa pombe wala kushobokea pisi kaliView attachment 2773330
Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'ombe hazeeki mainiToo old for (useless) utelezi...more into healthy foods, leisure, misambwanda watching, reading and conversing with intelligent women like Mama E.....
View attachment 2773367

Mshana unazingua hivi sio vituko, huu ni ushetani, tunataka vituko hatutaki habari"Nilikuwa kwa Yesu lakini nilifukuzwa kanisani kwa sababu ya anasa. Sasa hivi naishi maisha yangu vile nataka, nikikufa nikufe nikiishi niishi"- Chokuu, Mwanaume Raia wa Kenya aliyeamua kujibadilisha muonekano kuwa wa kike na kutimkia Ulaya kujiuza.
View attachment 2773384
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaMshana unazingua hivi sio vituko, huu ni ushetani, tunataka vituko hatutaki habari