Hiki ki mzunguko ndio nimekiona juzi wakati najikumbushia hii movie, nikashtuka mbona kipindi naiangalia kwa mara ya kwanza sikiku notice, au huwenda nishaaribikiwa sasa[emoji1787][emoji1787]
Kemea kwa kwelii.......ni dalili mbayaHiki ki mzunguko ndio nimekiona juzi wakati najikumbushia hii movie, nikashtuka mbona kipindi naiangalia kwa mara ya kwanza sikiku notice, au huwenda nishaaribikiwa sasa[emoji1787][emoji1787]
Anaitwa Gracie Bon. Ni pisi moja hatari sana japo ameniudhi maana amejikondesha sana. Sijui anajaribu kumfurahisha mshamba_hachekwi? Akiendelea kujikondesha nitaacha kumfuatilia 🚮🚮🚮
instagram.com