Hahahahaha.Hiyo ya juu ni trash [emoji706][emoji706][emoji706] ila aisee siku niliponunua Phoenix yangu mpyaa kwa mara ya kwanza sikulala wallahi. Hii ni kweli kabisa na siyo meme wala kituko cha mtandaoni [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2767641View attachment 2767642
Muongo sana huyo mwanamke.Oooooh
Kinaonekana tu uso ushakongoroka.Muongo sana huyo mwanamke.
Ni kizee ila kinajifanya kisichana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwani najua basi[emoji23]