benybeny
Senior Member
- Aug 15, 2017
- 105
- 177
DoneOndoa hiyo namba mkuu. It is illegal
DoneOndoa hiyo namba mkuu. It is illegal
Mwananyamala kwa manjuju[emoji16]Location muhimu bibie
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kulea si mchezo[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kafa??Miaka karibia minne nasali mumewe afe. Mapenzi haya kweli hayana mwongozo! [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2766443
Afe wapi jamaa ndiyo kwanza kamnunulia mkewe Land Rover Discovery mpyaaa halafu wanapendana hatari. Sala zangu sijui zilikuwa hazifiki mbinguni 😳Sasa kafa??
Au tuungane tuombe[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],shindwaaaaaAfe wapi jamaa ndiyo kamnunulia mkewe Land Lover Discovery mpyaaa halafu wanapendana hatari. Sala zangu sijui zilikuwa hazifiki mbinguni [emoji15]
mkate wa kina mama ndo pedi sio🤣