😂😂😂..! Mataluma ukapimwe aiseeh
Hahahah hahah
Hilo ni shuka aisee , hapo akitaka mtu asimuone uso analirusha usoni tu
Hii itakuwa africa
Oooyaaah mambo gani hayo aiseee jamaaa, sasa hiki ndio kiini macho kabisa
Ndio toleo jipya kutoka nyumbu au
Hawa jamaa wanaweza kabisa , wapo resi hadi wanasahau maisha wameyaacha nyumaWakenya wanasema wanaiba matiti(bra) ya mama (mke) na kuifanya![]()
Hivi wakenya mna nini View attachment 1433194
Sent from my iPhone using Tapatalk
Puru ndio nini aisee jamaaaNdio ila, wanajichomeka kwenye puru huko.
Ndio toleo jipya kutoka nyumbu au
Hawa jamaa wanaweza kabisa , wapo resi hadi wanasahau maisha wameyaacha nyuma


Mk***uPuru ndio nini aisee jamaaa