Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Ukishatoa makafara ya ndugu zako na mengineyo huwa hakuna kustaafu maana zile damu ulizozitoa zinakuwa zinakulilia. Ukitaka kustaafu ni lazima ufe!Hivi mtaalamu bado hujastaafu nije unisaidie jambo langu!
Wale simu zetu hazina feature ya fast charging, kujaa mpaka tuloweke kwenye umeme tunapitia kipindi kigumu sana!
Mkombozi yupo kaka...Amkeni Wikiend hyo mkipate gono
Aiseee inakuwa kama ndoa ya kikatoliki. Mungu atuepushieUkishatoa makafara ya ndugu zako na mengineyo huwa hakuna kustaafu maana zile damu ulizozitoa zinakuwa zinakulilia. Ukitaka kustaafu ni lazima ufe!
Huku nilipo hata leo Maharage amefanya yake wakati anaaga 😁😁😁Wale simu zetu hazina feature ya fast charging, kujaa mpaka tuloweke kwenye umeme tunapitia kipindi kigumu sana!
Ndiyo maana huwa hawawezi kuacha. Na ni lazima amrithishe mtu. Huwezi kufa na uchawi wako hivi hivi tu!Aiseee inakuwa kama ndoa ya kikatoliki. Mungu atuepushie
Kondom ya gharama sana hiyo.Kondomu (1640 CE) iliyotengenezwa kwa 'utumbo wa Nguruwe', ilipatikana wakati wa uchimbaji wa kiakiolojia katika jiji la Lund, Uswidi. Inachukuliwa kuwa kielelezo kongwe zaidi cha kondomu ulimwenguni.
Ilikuja na mwongozo wa watumiaji ambao uliagiza wavulana kuichovya kwenye maziwa ambayo hayajachemshwa, kabla ya matumizi ili kuzuia magonjwa wakati wa kulala na makahaba. Pia inaweza kutumika tena, kuosha na tena kuwekwa (kulowekwa) katika bakuli la maziwa yasiyochemshwa kwa masaa 6-8, kisha kutumika tena.
Blogu: https://bio.link/museumofrtifactsView attachment 2757618
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbushia tuu [emoji23]Hivi mtaalamu bado hujastaafu nije unisaidie jambo langu!
Kuna nyama zinapata tabu sanaMkombozi yupo kaka...View attachment 2759201