Nifundishe kiapo unachokiaminiNimetosheka japo kwa kulazimishwa nitosheke[emoji23]
Hiki ni kichaa
Ingekuwa wanaume tunajivua gamba kama nyoka....Wanawake wakiwa wengi huwa wanapendeza na wanakuwa wazuri sana , ila akiwa mmoja bwana!View attachment 2755477View attachment 2755478View attachment 2755479View attachment 2755480
Mwaka huo unaisha mrembo vipi bado andunje anakusoma tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Una dhambi
Alafu kwa nini wabaya ndio wanaoenda kukaa katikati?🤣🤣🤣🤣Wanawake wakiwa wengi huwa wanapendeza na wanakuwa wazuri sana , ila akiwa mmoja bwana!View attachment 2755477View attachment 2755478View attachment 2755479View attachment 2755480
[emoji23][emoji23][emoji23] Niko poa. Ulipotelea wapi?Mwaka huo unaisha mrembo vipi bado andunje anakusoma tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzima lakini wewe